
Tuesday, September 23, 2014
JUAN MATA AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA MAN UNITED KWA KIPIGO CHA LEICESTER CITY

JUAN
Mata amewaomba radhi mashabiki wa Manchester United kwa kiwango kibovu
kwenye mchezo wao dhidi ya Leicester City na kusema anashiriki nao
katika maumivu waliyoyapata baada kushindwa kuulinda uongozi wao wa
mabao mawili.
United
iliongoza 2-0 na baadae 3-2 kwenye uwanja wa King Power lakini
ikajikuta ikichukua kichapo cha 5-3 katika mchezo ambao nyota huyo wa
Hispania anauelezea kuwa ulikuwa wa kukatisha tamaa.
Mata
amewaahidi mashabiki wao kuwa United itarejea na nguvu mpya katika
mechi zao mbili zijazo za uwanja wa nyumbani dhidi ya West Ham na
Everton.
Akiandika
kwenye blog yake, Mata ambaye aliingia badala ya Angel di Maria dakika
14 kabla mpira haujaisha, alisema baada ya kusubiri mechi kwa wiki
nzima, kamwe hakutegemea kukumbana Jumapili ya aina hiyo.
JIPATIE JOINING INSTRUCTIONS FOR DIPLOMA AND CERTIFICATE HEALTH PROGRAMMES 2014/2015
Habazri yenu wadau Leo tena tunaweletea Joining instructions za kozi mbalimbali certificates na diploma kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
Tunajua wengi mnazisubiria hizi form kwa hamu sana na mnataka mjue gharama za mafunzo kwa chuo ulichochaguliwa.
Kama kawaida yetu tupo hapa kusaidia watu wote wanaohitaji hizi form za kujiunga na chuo husika.
Ili kujipatia joining instructions ya kozi ulichaguliwa unatakiwa kufanya yafuatayo;
1.Tuma Email address yako
2.Tuma gharama za kutumiwa joining hii Tsh.300 kwa Mpesa
3.Ukishatumiwa kwenye email yako ,nenda staionary yoyote mpe email yako ata kuprintia kwa gharama ndogo zaidi,tofauti na ukienda kama ulivyo kwani gharama yake ni tsh.1500 hadi 2000.
4.Tafadhali tuma email yako kwenda namba 0763150950,then tutakutumia baada ya Mda si mrefu.
NOTE:TUMEFANYA HIVI KUTOKANA NA WATU WENGI KUTOKUWA NA UWEZO WA KUWA NA INTERNET,PIA KAMA UPO SIMIYU-MASWA UNAWEZA UKAPIGA HIYO NAMBA MOJA KWA MOJA KUJIPATIA JOINING YAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO.,KWANI NITAKUPATIA KWA GHARAMA YA tsh.700 tu.
Pia faida kubwa ya kutumia huduma zetu,Utaweza kujibiwa Maswali mbalimbali yanyokutatiza.
Joining instruction for diploma and certificate in health Programmes 2014/2015 | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
![]() |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA TU
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja
na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
inapenda kuwataarifu wanafunzi
wote waliochaguliwa kwenye vyuo vya afya vya serikali nchini
kuwa
JOINING INSTRUCTIONS zinapatikana hapa chini, kwenye tovuti ya Wizara (www.moh.go.tz ) na kwenye Profile ya mwanafunzi husika.
Kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye vyuo binafsi mnaombwa kuendelea
kuwasiliana na vyuo husika ili kupata hizo JOINING INSTRUCTIONS.
Taarifa kuhusu UFADHILI itatolewa kabla ya Ijumaa ya tarehe (29 Agosti, 2014).
IMETOLEWA NA:
KATIBU MTENDAJI, BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI SOURCE: NACTE NA WIZARA YA AFYA |
Subscribe to:
Posts (Atom)