Tuesday, September 23, 2014

download new song

Habibty by Akil The Brain Ft Saraha

Download

Nikupe Nini by Iddy Maswaga Ft Timbulo

Download

Cindee remix by Jay One

Download

Sio Mchoyo by Young Dee Ft Jux

Download

Kasuku by Rojas feat Diamond Platnumz

Download

Wanaona Gere by Bibo Ft Madee

Download

Najipendelea by Rabbit Ft Joh Makini G Nako

Download

Pole Pole by Steve Rnb

Download

Njoo Hapa by 909

Download

Najipendelea by Rabbit Ft Joh Makini G Nako

Download

Hana Maringo by Medy Star Ft Rich Mavoko

Download

Adam shule kongwe by D D C Mazishi Dirty Version

Download

I Love U Refix by Kassim Ft Lamar

Download

Boss by Lymo Ft Chekedaa

Download

Nimekuzoeya by Star Flavian

Download




JUAN MATA AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA MAN UNITED KWA KIPIGO CHA LEICESTER CITY





    Juan Mata, who was a late substitute for Manchester United in their 5-3 defeat at Leicester, has apologised for their poor performance on his latest blog post
    JUAN Mata amewaomba radhi mashabiki wa Manchester United kwa kiwango kibovu kwenye mchezo wao dhidi ya Leicester City na kusema anashiriki nao katika maumivu waliyoyapata baada kushindwa kuulinda uongozi wao wa mabao mawili.
    United iliongoza 2-0 na baadae 3-2 kwenye uwanja wa King Power lakini ikajikuta ikichukua kichapo cha 5-3 katika mchezo ambao nyota huyo wa Hispania anauelezea kuwa ulikuwa wa kukatisha tamaa.
    Mata amewaahidi mashabiki wao kuwa United itarejea na nguvu mpya katika mechi zao mbili zijazo za uwanja wa nyumbani dhidi ya West Ham na Everton.
    Akiandika kwenye blog yake, Mata ambaye aliingia badala ya Angel di Maria dakika 14 kabla mpira haujaisha, alisema baada ya kusubiri mechi kwa wiki nzima, kamwe hakutegemea kukumbana Jumapili ya aina hiyo.

    JIPATIE JOINING INSTRUCTIONS FOR DIPLOMA AND CERTIFICATE HEALTH PROGRAMMES 2014/2015


                                         

    Habazri yenu wadau Leo tena tunaweletea Joining instructions za kozi mbalimbali certificates na diploma kwa mwaka wa masomo 2014/2015.

    Tunajua wengi mnazisubiria hizi form kwa hamu sana na mnataka mjue gharama za mafunzo kwa chuo ulichochaguliwa.

    Kama kawaida yetu tupo hapa kusaidia watu wote wanaohitaji hizi form za kujiunga na chuo husika.
    Ili kujipatia joining instructions ya kozi ulichaguliwa unatakiwa kufanya yafuatayo;
    1.Tuma Email address yako
    2.Tuma gharama za kutumiwa joining hii Tsh.300 kwa Mpesa
    3.Ukishatumiwa kwenye email yako ,nenda staionary yoyote mpe email yako ata kuprintia kwa gharama ndogo zaidi,tofauti na ukienda kama ulivyo kwani gharama yake ni tsh.1500 hadi 2000.
    4.Tafadhali tuma email yako kwenda namba 0763150950,then tutakutumia baada ya Mda si mrefu.

    NOTE:TUMEFANYA HIVI KUTOKANA NA WATU WENGI KUTOKUWA NA UWEZO WA KUWA NA INTERNET,PIA KAMA UPO SIMIYU-MASWA UNAWEZA UKAPIGA HIYO NAMBA MOJA KWA MOJA KUJIPATIA JOINING YAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO.,KWANI NITAKUPATIA KWA GHARAMA YA tsh.700 tu.

    Pia faida kubwa ya kutumia huduma zetu,Utaweza kujibiwa Maswali mbalimbali yanyokutatiza.


    Joining instruction for diploma and certificate in health Programmes 2014/2015
    TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA TU
    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii 
    inapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kwenye vyuo vya afya vya serikali nchini 
    kuwa
    JOINING INSTRUCTIONS zinapatikana hapa chini, kwenye tovuti ya Wizara (www.moh.go.tz ) na kwenye Profile ya mwanafunzi husika.
    Kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye vyuo binafsi mnaombwa kuendelea kuwasiliana na vyuo husika ili kupata hizo JOINING INSTRUCTIONS.
    Taarifa kuhusu UFADHILI itatolewa kabla ya  Ijumaa ya tarehe (29 Agosti, 2014).
    S/NInstitute NameProgram Name:Download
    1 Bagamoyo School of Nursing- Bagamoyo Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    2 Bugando School of Nursing - Mwanza Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    3 Dental Therapists Training Centre - Tanga Ordinary Diploma in Dental Therapy JOINING INSTRUCTION
    4 Geita School of Nursing - Geita Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    5 Kagemu School of Environmental Health Sciences - Bukoba Ordinary Diploma in Environmental Health Sciences JOINING INSTRUCTION
    6 Kahama School of Nursing - Kahama Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    7 KCMC School of Nursing - Moshi Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    8 KCMC School of Optometry - Moshi Ordinary Diploma in Optometry JOINING INSTRUCTION
    9 KCMC School of Physiotherapy - Moshi Ordinary Diploma in Physiotherapy JOINING INSTRUCTION
    10 Kibaha Clinical officers Training Centre - Kibaha Ordinary Diploma in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    11 Kibaha Clinical officers Training Centre - Kibaha Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    12 Kigoma Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    13 Kilosa Clinical Officers Training Centre Ordinary Diploma in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    14 Kilosa Clinical Officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    15 Kiomboi School of Nursing - Iramba, Singida Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    16 Kondoa School of Nursing - Kondoa Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    17 Korogwe School of Nursing - Korogwe Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    18 Lindi Clinical officers Training Centre Ordinary Diploma in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    19 Lindi Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    20 Mafinga Clinical officers Training Centre Ordinary Diploma in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    21 Mafinga Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    22 Masasi Clinical officers Training Centre - Mtwara Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    23 Maswa Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    24 Mbulu School of Nursing Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    25 Mirembe School of Nursing Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    26 Mkomaindo School of Nursing - Masasi Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    27 Morogoro Public Health Nursing School - Morogoro Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    28 Mtwara Clinical officers Training Centre Ordinary Diploma in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    29 Mtwara Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    30 Muhimbili Dental Laboratory Technology Ordinary Diploma in Clinical Dentistry JOINING INSTRUCTION
    31 Nachingwea School of Nursing Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    32 Newala School of Nursing - Newala Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    33 Njombe School of Nursing - Njombe Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    34 Nzega Nursing School - Tabora Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    35 Operating Theatre Management School - Mbeya Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    36 School of Dental Therapy - Mbeya Ordinary Diploma in Dental Therapy JOINING INSTRUCTION
    37 Singida Health Laboratory Assistants Training Centre Technician Certificate in Medical Laboratory Sciences JOINING INSTRUCTION
    38 Songea Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    39 Sumbawanga Clinical officers Training Centre Technician Certificate in Clinical Medicine JOINING INSTRUCTION
    40 Tanga School of Nursing - Tanga Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    41 Tarime School of Nursing - Tarime Technician Certificate in Nursing JOINING INSTRUCTION
    42 Tukuyu School of Nursing - Tukuyu Ordinary Diploma in Nursing JOINING INSTRUCTION
    IMETOLEWA NA:
    KATIBU MTENDAJI, BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI


    SOURCE: NACTE NA WIZARA YA AFYA